HABARI PICHA: MAKAMU WA RAIS MHE. DKT MPANGO ALIPOTEMBELEA BANDA LA CRDB WAKATI WA UWEKAJI JIWE LA MSINGI SGR ISAKA

Mkurugenzi wa wateja wakubwa benki ya Crdb Prosper Nambaya akifafanua jambo mbele ya Makamu wa Rais Dkt Mpango alipotembelea banda lao wakati wa uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha nne Tabora_ isaka yenye urefu wa kilomita 165

Picha ya pamoja ya wafanyakazi CRDB KAHAMA kwenye banda lao wakati wa uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha nne Tabora_ isaka yenye urefu wa kilomita 165

Mkurugenzi wa wateja wakubwa benki ya Crdb Prosper Nambaya akifafanua jambo mbele ya Makamu wa Rais Dkt Mpango alipotembelea banda lao wakati wa uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha nne Tabora_ isaka yenye urefu wa kilomita 165

Makamu wa Rais Dkt Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa wateja wakubwa wa CRDB ( Hayupo pichani) kwenye banda lao wakati wa uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha nne Tabora_ isaka yenye urefu wa kilomita 165

Previous Post Next Post