Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai Tanzania (TOAM) na Mamlaka ya Uwekezaji Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), wanaongoza ujumbe wa kibiashara katika maonesho ya kimataifa ya biashara ya bidhaa za kilimo hai (BIOFACH 2026)wakiongozwa na mkakati wa Taif awa Kilimo Ikolojia Hai (NEOAS 2023.2030) na kuendana na ajenda 2030.

