NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO KAZI CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU MBALIMBALI YA WIZARA


Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) ameongoza kikao kazi cha kujadili na kupitia taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Wizara ya Maliasili na Utalii yaliyopangwa kutekelezwa katika kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba,2022.

Kikao hicho kilichohudhuriwa na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Maliasili na Utalii kimefanyika Januari 14,2023 jijini Dodoma









Previous Post Next Post