PROF. ADELARDUS KILANGI APISHWA KUWA BALOZI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil leo tarehe 06 Desemba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Previous Post Next Post