RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI


Rais Dkt. Samia amefanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri kama ifuatavyo;:

Amemteua Bw. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. Jenista J. Mhagama 
(Mb). 

Pia amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface Simbachawene ( Mb ).



Previous Post Next Post