Habari Picha: Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) atembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye maonyesho ya sabasaba

Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) atembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini ya ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA)  yanayoendelea Jijini Dar es Saalam, ametembelea hii tarehe 09 Julai, 2024.


Previous Post Next Post