NBAA YAZINDUA MIUNDOMBINU YA KUFUNDISHIA KWA NJIA YA MTANDAO


Na Mwandishi Wetu

SERIKALI imesema inampango wa kutoa elimu kwa njia ya kidigitali kwenye vyuo mbalimbali nchini ususani vyuo vya uhasibu hatua inayoaminika kusaidia kuzalisha wahasibu wengi watakaoendana na soko la ajira la kisasa


Katika hafla ya uzinduzi wa mtambo wa utoaji elimu ya uhasibu kidigitali ambapo muhasibu mkuu wa serikali Leonard Mkude amesema licha ya mtambo huo kupunguza gharama za masomo pia utasaidia kupatikana kwa wahasibu wengi zaidi nchini 


Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA CPA Proff Sylvia Temu amesema Mtambo wa kutoa Elimu kwa miundombinu ya njia ya mtandao utanufaisha kundi kubwa la wanachuo wanaosoma kozi ya uhasibu na kuwa chachu ya kuongeza Wahasibu na wakaguzi Nchini.











Previous Post Next Post