#BREAKING : ANGALIA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE


Na Mwandishi wetu,

NECTA leo January 29,2023 imetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata kuanzia daraja la kwanza hadi daraja la nne.


 

Previous Post Next Post