Na mwandishi wetu......
“Nabii mkuu Geor Davie ni mtumishi wa mungu heshima yake nchi na nje nchi ni kubwa sana na amekuwa akiheshimiwa na seriakli, waumini na watu mbali kwa huduma yake yakiroho anayoitoa kupitia kanisa lake”
Msama amewataka watu wote wanaotumika kumchafua Nabii mkuu waache mara moja na kumtaka msanii wa nyimbo za IInjili GoodluckGozbert kuomba radhi mbele ya umma kwa kumchafua Nabii MKuu.