NAIBU WAZIRI WA HABARI MARYPRISCA MAHUNDI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA TIGO

Kaimu Afisa Mkuu wa Tigo,Jerome Albou akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi alipotembelea Makao makuu ya Tigo, ikiwa ni ziara ya Naibu Waziri kutembelea makampuni ya Mawasiliano nchini kwa lengo la kujionea utendaji kazi katika makampuni haya. Katika ziara yake Naibu Waziri alitembelea makao makuu ya Tigo na kupokelewa na Menejimenti yetu, na baadae akapata fursa ya kutembelea Call Center /Kituo cha Huduma kwa Wateja pamoja na Kituo cha Data (Data Centre)


Previous Post Next Post