HABARI PICHA: WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA WABUNGE WOTE DODOMA

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni, kulia kwake ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kushoto kwake ni Naibu Spika Mhe. Mussa Azan Zungu, wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko na wa kwanza kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)





Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)



 


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma, ulioongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)







Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Previous Post Next Post