DKT. NDUMBARO AITAKA TIRA KUSHIRIKIANA NA WADAU KULINDA HAKI ZA WATUMIAJI HUDUMA


Na Mwandishi Wetu

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Nchini (TIRA) kwa kushirikiana na wadau kulinda haki za watumiaji wahuduma za bima ili kuifanya sektan iaminike kuwa kimbilio la wananchi vijijini na mjini.

Hayo ameyabainisha leo Disemba 6 jijini Dar es Salaam na Dk. Ndumbaro wakati akizindua wa taarifa ya utendaji wa soko la bima kwa mwaka 2022 uliohudhuliwa na wadau mbalimbali wa bima.


Amesema leo wamekutana kwa tukio hilo muhimu kuwapongeza uongozi wa TIRA waliofanya ripoti kama hiyo wangekaa nayo ofisin lakin wamezindua ripoti wadau na wananchi wanajua nini wanafanya.

“Muwafikiwe watu wengi waliopo vijijini na mjini ambapo watanzania wengi wanawahitaji hasa huduma ya bima na bima ya afya kwa wote ni haki za binadamu kila mtu apate huduma sawa awe tajiri au masikini,”amesema Dk. Ndumbaro.

Amesema TIRA katika kuandaa taarifa hiyo imeongozwa na mambo mbalimbali ikiwemo katika eneo wanajivunia ni bima kuna sehemu tatu ambazo zinahitaji kutoa elimu kwa wananchi


Ametaja sehemu hizo tatu ikiwemo kujenga ufahamu kwenye bidhaa zake na umuhimu wake bado uelewa mdogo
wadau wote kuchukua hiyo kama changamoto wafanye kuelimisha watu na elimu zaidi

“Wadau kubuni bidhaa mpya za bima ambazo zita uzika sokoni kazi ya bima kulinda mali na maisha ya watu wadau wa bima mshirikiane na TIRA muweka packeg za chini kila mwananchi aweze kumudu huduma za bima,” amesema.

Pia amewataka kuanzisha mifumo madai ya wateja sio hakuna bado hauna nguvu mifumo kwa maslahi ya kila mmoja vizuri malalamiko yashugulikiwe mapema.

Ameongeza kuwa TIRA kwa kushirikiana na wadau kuweka mikakati ya kutoa huduma ya bima kidigital na kuhakikisha kusimamia wananchi wanapata huduma stahiki na kudhibiti ubadhilifu.

Amesema takwimu zinaonyesha zinakuandani ya miaka mitano kila sekta amewaomba kuhakikishe wakue zaidi ili wqweze kuchangia pato la Taifa.

Dk. Ndumbaro amesema Bima katika michezo eneo hil ni pana zaidi kuna wadau wengi kuuanzia January mosi timu zote za zinazo shirika NBC league wachezaji wote wawe na bima kuna fursa zaidi kwa watu wa bima kwa upande wa michezo

Naye Kamishina wa TIRA, Dk. Baghayo Saqware amesema Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ametia saini mswaada wa sheria ya bima ya afya kwa wote na sasa imekuwa sheria kamili wapo tayari kusimamia biashara ya bima na kufanya kazi nchini.

Amesema hadi kufikia Disemba 31 mwaka 2022 jumla ya kampuni 36 ni za bima hadi leo kampuni zaidi zinaongezeka na wakala wa bima mwaka 2021 789 na mwaka 2022 922.
Previous Post Next Post