BETIKA KUSHIRIKIANA NA TIGO YAZINDUA KAMPENI YA "TWENZETU IVORY - COAST Ki-VIP"


Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI namba ya moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika kwa kushiriki kampuni ya mtandao wa simu Tigo imezindua kampeni kubwa ya "Twen' zetu Ivory-Coast Ki-VIP"


Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar Es Salaam,Afisa Habari,Rugambwa Juvenalius,wakati akitangaza Kampeni hiyo,amesema kampeni hii ni kwa ajili ya wateja wa Betika wanaotumia mtandao wa Tigo.

"Jinsi ya kushirika ni kuweka pesa katika akaunti yako ya Betika kupitia Tigo Pesa na kisha kufanya bashiri za mechi mbalimbali kila siku,Mabingwa wa droo ya siku na droo ya wiki watatangazwa kwenye mitandan yetu ya kijamii ya instagram na Facebook"Amesema Jevenalius.


Hata hivyo,Jenenalius,amesema katika Promesheni mshindi anapewa Tv hisense inchi 70 kila wiki washinda wawili zikiambatana na Ving'amuzi vya Dstv na kifurushi cha mwezi mmoja

"Mamilioni kushindaniwa kwenye droo za kila siku na zawadi kubwa kabisa ni Tiketi ya Ki-VIP kwa mabingwa 6 kueldkea Ivory Coast kutazama mechi za mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika"afkon"Amesema

Kadhalika,Jevenalius,amesema Droo kubwa ya kupata mabingwa 6 watakaoenda ivory Coast itafanyika tarehe 2 Januari 2024 na mapingwa watapata huduma za Ki-VIP kwanzia wakiwa nchini Tanzania mpaka kufika Ivory Cost,tiketi za ndege kwenda na kurudi,Hoteli kwa siku zote ndani Ivory Cost,usafiri wa kifahali kuelekea uwanjani na pia Titeki ya kutazama mechi Uwanjani.
Previous Post Next Post