Habari Picha: Naibu Waziri Ummy ashiriki kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu dhidi ya UKIMWI- GLIA

Matukio katika picha wakati wa kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu dhidi ya UKIMWI (GLIA) kilichofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 15 Septemba,2023.Kikao kilihusisha nchi Sita ikiwemo Burundi, DRC Congo, Tanzania, Kenya, Uganda, na Rwanda zinazounda umoja huo.


















Previous Post Next Post