#BREAKING: RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu.

Katika mabadiliko hayo, Mhe. Rais ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na badala yake kuunda wizara mpya mbili ambazo ni: 

Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Uchukuzi. Aidha, ameimarisha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afika Mashariki kwa kuongeza nafasi ya Naibu Waziri na Katibu Mkuu watakaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki. 

Katika mabadiliko hayo, Mhe. Rais amemteua Naibu Waziri Mkuu, Mawaziri wanne (4), Naibu Mawaziri watano (5), Makatibu Wakuu watatu (3) na Naibu Makatibu Wakuu
watatu (3). Vilevile, amewabadilisha wizara baadhi ya Mawaziri na Makatibu Wakuu. Mabadiliko hayo ni kama ifutavyo:







Previous Post Next Post