WAZIRI MKUU AKIWA KATIKA MAONESHO SABASABA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Imalilo Nutrition Educators katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Mke wa aliyekua Rais wa awamu ya tatu, Mama Anna Mkapa. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia asali inayozalishwa na Kampuni ya Pinda Honey, katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba, Kurasini jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Imalilo Nutrition Educators katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Julai 05, 2023. Kulia ni Mke wa aliyekua Rais wa awamu ya tatu, Mama Anna Mkapa. 
Previous Post Next Post