HABARI PICHA: Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, William Genya akiwaonyesha K-FINCO eneo la Upanga Mashariki ambalo linatarajiwa kuendelezwa

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa, William Genya akiwaonyesha eneo la Upanga Mashariki ambalo linatarajiwa kuendelezwa ujumbe kutoka Shirika la linalojihusisha na utoaji fedha katika kuendeleza sekta ya ujenzi nchini Korea Kusini (K-FINCO), lililofika nchini kufuatia wito wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchangamkia fursa za uwekezaji katika sekta ya nyumba

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa, William Genya akiwaonyesha eneo la Upanga Mashariki ambalo linatarajiwa kuendelezwa ujumbe kutoka Shirika la linalojihusisha na utoaji fedha katika kuendeleza sekta ya ujenzi nchini Korea Kusini (K-FINCO), lililofika nchini kufuatia wito wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchangamkia fursa za uwekezaji katika sekta ya nyumba.

Mwenye shati jeupe na miwani myeusi, ni balozi wa Tanzania, nchini Korea Kusini, mheshimiwa Togolani Mavura, aliyeambatana na K-FINCO nchini.

Previous Post Next Post