RC CHALAMILA APOKEA UGENI KUTOKA BUNGE LA TANZANIA


Na Mwandishi Wetu, Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Machi 15, 2024 amepokea ugeni kutoka Bunge la Tanzania ambao ni Kamati ya Nishati na Madini Ofisini kwake Ilala Boma.

Ugeni huo unaongozwa na Naibu Waziri wa Nishati Mhe Judith Kapinga pamoja na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Mathayo David Mathayo ambapo wameanza ziara rasmi ya siku 2 kuanzia leo Machi 15, 2024

Aidha pamoja na mambo mengine Kamati hiyo inatarajia kukagua miradi ya vituo vya gesi vilivyoshindiriwa, pamoja na mradi wa Bomba la kupitisha gesi asilia eneo la Mwenge, Mbezi beach na maeneo mengine.













Previous Post Next Post