AZAM WATAMBULISHA TAMTHILIA YA BUNJI, TAMTHILIA YA NIA YAFIKIA TAMATI

Na Lilian Ekonga 
Azam Media LTD Kwa mara nyingine tena wametambulisha Tamthilia Mpya ya BUNJI Ambayo itakayoonyeshwa Kwa mara ya kwanza Aprili Mosi,Mwaka 2024 Katika channel namba 103 ya sinema zetu

Tamthilia hiyo ya BUNJI itaanza kuruka kuanzia Jumatatu mpaka Alhamis saa 1 na nusu usiku, Tamthilia hiyo ambayo ikiwakirishwa na Msanii Isarito Mwakalindilie

Isarito Amesema Safari yake ya uigizaji ilianza tokea mwaka 2017,Haikuwa rahisi mpaka amefikia hapa

Amesema Cha kwanza ni ndoto,maana ndoto ndo inayozalisha kila kitu,alikuwa amepitia matatizo mengi vikwazo vingi amekatishwa tamaa kuna kukataliwa unaonekana haufai kuigiza

“Tulivyoanza kuigiza weusi huu ulikuwa kipengele,tunashukuru familia zetu walitupa sana moyo hasa mama angu alinipa moyo,mama alishaniambia kuwa pambana hiyo rangi yako IPO siku utaonekana tu na kila mmoja atatamani kuwa na rangi kama yako,pia Kuna baadhi ya Interview ukienda unakataliwa”.

Amesema Mwakalindilie Hata hivyo Mwakalindilie Amesema hakukata.tamaa mpaka mungu alivyonyooshea na kupata Tunzo Mwaka 2021 ya muigizaji Bora wa kiume Tanzania na Tunzo nyingine Ya East Africa ambazo hizi aliweza kupata Katika Movie zake ambazo alizokuwa amezitoa na kumfikisha hapo na Sasa akaona bora atoe Tamthilia Mpya ambayo itakayomtambulisha vyema Azam Tv na Sinema zetu  Kwa mara ya kwanza. 

Nae Msimamizi Mkuu wa Sinema Zetu Sophia mgaza Amesema Tamthilia hii inaenda kumbadilisha tafsira ya bongo movie, Tamthilia iliyojaa drama,Mapigano,Matukio ya kuogofya na yatakufanya ujitafakari na kujiuliza na pia Kuna vionjo vya mapenzi yasiyochoka yasiyokufanya uone haya ya kutazama

“Tamthilia hii imefanyika mkoani mbeya ambayo iliyochukua Asilimia 80 na dar es salaam umechukua Asilimia 20 na utajili wa Tamthilia hii IPO Katika matumizi wa waigizaji wazawa waliochanganyikana

Amesema wanaitaji watu wa mikoani Kwa Sasa wajione wapo Katika Tasnia yetu maana kazi nyingi zilikuwa zinafanyika dar es salaam na waigizaji wakuu wengi wanatoka dar es salaam na tunasahau kama Tasnia inataka itembee nchi nzima

Tamthilia ya BUNJI Ambayo inayochukua nafasi ya Tamthilia ya NIA inayofikia Tamati Machi 26,2024

Hata hivyo Mwakalindilie Amesema hakukata.tamaa mpaka mungu alivyonyooshea na kupata Tunzo Mwaka 2021 ya muigizaji Bora wa kiume Tanzania na Tunzo nyingine Ya East Africa ambazo hizi aliweza kupata Katika Movie zake ambazo alizokuwa amezitoa na kumfikisha hapo na Sasa akaona bora atoe Tamthilia Mpya ambayo itakayomtambulisha vyema Azam Tv na Sinema zetu  Kwa mara ya kwanza

Nae Msimamizi Mkuu wa Sinema Zetu Sophia mgaza Amesema Tamthilia hii inaenda kumbadilisha tafsira ya bongo movie, Tamthilia iliyojaa drama,Mapigano,Matukio ya kuogofya na yatakufanya ujitafakari na kujiuliza na pia Kuna vionjo vya mapenzi yasiyochoka yasiyokufanya uone haya ya kutazama

“Tamthilia hii imefanyika mkoani mbeya ambayo iliyochukua Asilimia 80 na dar es salaam umechukua Asilimia 20 na utajili wa Tamthilia hii IPO Katika matumizi wa waigizaji wazawa waliochanganyikana

Amesema wanaitaji watu wa mikoani Kwa Sasa wajione wapo Katika Tasnia yetu maana kazi nyingi zilikuwa zinafanyika dar es salaam na waigizaji wakuu wengi wanatoka dar es salaam na tunasahau kama Tasnia inataka itembee nchi nzima

Tamthilia ya BUNJI Ambayo inayochukua nafasi ya Tamthilia ya NIA inayofikia Tamati Machi 26,2024
Previous Post Next Post