Watu 10 wakiwemo wanafunzi nane (8) wa Shule ya Msingi ya King David iliyopo mkoani Mtwara wamefariki dunia katika ajali ya gari la shule hiyo iloyotokea katika eneo la Mjimwema, Manispaa ya Mtwara Mikindani leo Julai 26, 2022
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mtwara, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk. Hamad Nyembea amethibitisha
Endelea Kufuatilia blog yetu kwa Taarifa Zaidi