Mwananchi wafurika Tamasha la Serengeti
Viwanja vya Chinangali Park Dodoma, usiku huu Machi 12, 2022 mambo ni 🔥🔥🔥
Mamia ya watu wafurika kushuhudia zaidi ya wasanii 200 wanaotarajia kupanda jukwaani kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Serengeti ambalo limeanza leo Machi 12 na 13, 2022.
Ni kwa shilingi 3000 tu getini.
#serengetimusicfestival
#MadeinTanzania



