"NI DKT. TULIA ACKSON..." :Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Shaka Hamidu Shaka amemtangaza mgombea wa nafasi ya Uspika kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi kuwa ni Dkt. Tulia Ackson Mwansasu baada ya Kamati kuu ya CCM kupitia na kuchambua majina takribani 71 ya wagombea waliorudisha fomu wa chama hicho.
Dkt. Tulia atawania nafasi hiyo pamoja na majina mengine ya vyama vya upinzani yatakayopitishwa na vyama vyao kwa lengo la kuziba nafasi ya Spika iliyoachwa wazo na aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai aliyejihudhulu nafasi hiyo hivi karibuni.
#uchaguzi #bunge #tuliaackson #sparklight_tvupdates #sparklight_tv
