Na Lilian Ekonga......
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi anatarijiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya 25 Makubwa ya QUR'AAN tukufu ya Mabala yote ulimwenguni yanayo tarajiwa kufanyika Machi 16 katika uwanja wa Taifa jinini Dar es salaam.
Ameyasema hayo Leo Machi 12 Mwenyekiti wa taasisi ya Alhkima Sheikh Nurdeen Kishki ambao ndio waandajina wa mashindano hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema Mshindi wa Kwanza kwenye Mashindano ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 3o.
"Waziri Mkuu Kassim Majiliwa na Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko watakuwepo pamoja na wageni kutoka oman, South Afrika, Uingereza, Kenya, Burudi n Rwanda na Dunia nzima imekwisha changamka kujuione bara lipi litaondoka na fedha hizo" amesema shekhe Kishki
Ameongeza Kuwa mashindano yameshikirisha washiriki 17 kutoka mabala sita ambapo kwa watanzania watatoka washiriki watatu Tanzania bara, Zanzibar na mmoj kutoka Taasisi ya Alhkima ambao ndio waandaji wa Mashindano hayo
Aidha amesema mashindano yataanza kuanzia saa kumi 12 na Nusu Hasubuhi na kumalizika saa sita nusu Mchana huku akiwa wakaribisha waumi wa dini ya kislamu na watanzania wote kwenda kujifunza Kitabu cha QUR'AAN tukufu.
"Taasisi ya Alkhima imefanaya mashinda ya QUR'AAN kwa Miaka 25 kuanzia mwaka 2000 hadi 2025 na matunda na haya mashandino imeleta muako wa kusoma QUR'AAN umeongeza na Waislamu wanapenda zaidi Sasa hivi kutoka na Haya mashindano, tumela mageuzi na tumefanya familia nyingi kupenda QUR'AAN" amesema Kishki