HABARI PICHA: MSTAAFU KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA EWURA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Bw. Titus Kaguo, alipotembelea Banda la EWURA, katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), leo tar 6/7/24

Previous Post Next Post