HABARI PICHA: Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Jerome Albou atembelea mabanda ya Tigo kwenye maonyesho ya sabasaba

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Jerome Albou akimuelezea mteja kuhusu simu mpya Aina ya ZTE34 alipotembelea mabanda ya Tigo 77

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo akimskiliza mfanyakazi wa tigo,kuhusu simu A34 ambayo mteja anaweza kukopa kwa tshs 650 kwa siku,katika mabanda ya Tigo

Previous Post Next Post