MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKITEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO YA MADINI JIJINI DODOMA


#WikiyaMadininaFEMATA
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ambaye  ni mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Kongamano la Madini ametembelea mabanda ya Maonesho ya Madini na vifaa vya uchimbaji yanayokwenda sambamba na  Kongamano hilo baada ya kupokelewa na viongozi wa Mkoa wa Dodoma, Wizara na FEMATA















Previous Post Next Post