HABARI PICHA: Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akiwa katika Kilele cha Maonesho ya Nane Nane Jijini Mbeya


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameshiriki katika Kilele cha Sherehe na Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima Nane Nane Viwanja vya Jonh Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 8 Agosti, 2023.









Previous Post Next Post