HAFLA YA UTIAJI SAINI BAINA YA SERIKALI NA KAMPUNI ZA UCHIMBAJI WA MADINI.


Leo Desemba 13, 2021 inafanyika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba Baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini.

Mgeni Rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Previous Post Next Post